• HABARI MPYA

    Friday, January 18, 2013

    SIMBA YAPIGWA THALATHA NA WANAJESHI WA OMAN

    Simba SC iliyopo ziarani Oman, jioni ya leo imefungwa mabao 3-1 na timu ya Jeshi la nchi hiyo katika mchezo wa kirafiki, bao lao pekee likifungwa na Haruna Moshi 'Boban'. Huo unakuwa mchezo wa pilimfululizo kwa Wekundu hao wa Msimbazi kufungwa kwenye ziara yao hiyo, baada ya awali kufungwa 1-0 na U23 ya Oman.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA YAPIGWA THALATHA NA WANAJESHI WA OMAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top