• HABARI MPYA

    Sunday, April 19, 2015

    KWETU HIVI, HUKO KWAO ITAKUWAJE?

    Mashabiki wa Etoile du Sahel ya Tunisia waliosafiri hadi Dar es Salaam kuja kuisapoti timu yao wakiwasha mishumaa kushangilia baada ya timu yao hiyo kusawazisha bao katika sare ya 1-1 na wenyeji, Yanga SC mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Shiriksiho Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KWETU HIVI, HUKO KWAO ITAKUWAJE? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top