• HABARI MPYA

    Wednesday, April 15, 2015

    MCHA KHAMIS AFARIKI DUNIA

    Kiungo wa Azam FC na Taifa Stars Khamis Mcha ‘Vialli’ (pichani) amefiwa na baba yake mzazi, Mcha Khamis, mchezaji wa zamani wa KMKM

    MSHAMBULIAJI wa zamani wa kimataifa wa Zanzibar, Mcha Khamis amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
    Baba huyo wa kiungo wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Khamis Mcha ‘Vialli’ amefariki duniani mjini Dar es Salaam ambako alikuwa anapatiwa matibabu.
    Enzi za uhai wake, Mcha mkubwa alichezea klabu za KMKM na Miembeni pamoja na timu ya taifa ya Zanzibar. Pumzika kwa amani Mcha Khamis, ahadi yako imetimia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHA KHAMIS AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top